Jina
First Name
Last Name
Namba ya Simu
-
Area Code
Phone Number
Bio sand filter ni nini?
Bio sand filter inafanya nini?
Toa bakteria
Toa viini
Toa wadudu
Toa maji
Toa chumvi
Toa uchafu
Toa hewa
Ni nyenzo gani inafaa kutumika unapo tengeneza biosand filter hii?
Mbao
Plastiki
Simiti
Chuma
Udongo
Ni vitu gani viko ndani ya biosand filter hii?
Mchanga
Kokoto
Kipima joto
Makaa
Uchafu
Bomba la maji
Kichujio
Simiti
Ni kitu gani kinaekwa cha kwanza kwenye filter hii?
Mchanga
Kokoto kubwa
Kipima joto
Makaa
Plastiki
Uchafu
Bomba la maji
Kichujio simiti
Kokoto ndogo
Ni kitu gani kinaekwa cha pili kwenye filter hii?
Mchanga
Kokoto kubwa
Kipima joto
Makaa
Plastiki
Uchafu
Bomba la maji
Kichujio simiti
Kokoto ndogo
Ni kitu gani kinawekwa cha tatu kwenye filter hii?
Mchanga
Kokoto kubwa
Kipima joto
Makaa
Plastiki
Uchafu
Bomba la maji
Kichujio simiti
Kokoto ndogo
Ni kitu gani kinawekwa cha nne kwenye filter hii??
Mchanga
Kokoto kubwa
Kipima joto
Makaa
Plastiki
Uchafu
Bomba la maji
Kichujio simiti
Kokoto ndogo
Ni kitu gani kinawekwa cha tano kwenye filter hii?
Mchanga
Kokoto kubwa
Kipima joto
Makaa
Plastiki
Uchafu
Bomba la maji
Kichujio simiti
Kokoto ndogo
Other
10. Kokoto kubwa ni za ukubwa gani?
0-0.7 mm
1-6 mm
6-12 mm
12-18 mm
18-24 mm
24-30 mm
Kokoto ndogo ni za ukubwa gani?
0-0.7 mm
1-6 mm
6-12 mm
12-18 mm
18-24 mm
24-30 mm
Mchanga ni wa ukubwa gani?
0-0.7 mm
1-6 mm
6-12 mm
12-18 mm
18-24 mm
24-30 mm
Ni maji ya aina gani yanayo weza tumika kwenye biosand filter?
Maji ya kuchemshwa
Maji ya mfrejini
Maji ya mvua
Maji ya mto
Maji ya bwawa
Maji ya Kemikali
14. Inachukua mda gani ndipo safu la viini (bio layer) kutengezeka?
Wiki moja
Wiko mbili
Wiki tatu
Wiki nne
Wiki tano
Wiki sita
Wiki saba
1
Maji yanayosimama yana urefu gani?
2 cm
3 cm
4 cm
5 cm
6 cm
7 cm
8 cm
9 cm
10 cm
Unahakikisha vipi maji yanabaki kwenye urefu unaotakikana?
Toa maji yanayozidi
Ongeza maji
Tengeza shimo kwenye pipa
Weka mwisho wa bomba kwenye urefu huo
Inamisha pipa
Vishimo kwenye kichujio ni vya ukubwa gani ?
0.5 mm
2 mm
5 mm
10 mm
Kichujio cha filter kina tengenezwa na nyenzo gani?
Mbao
Chuma
Plastiki
simiti
Majani
Maji
Bomba la kutolea maji lina urefu gani?
30 cm
50 cm
100 cm
150 cm
165 cm
Shimo iliyo chini kwenye bomba la kutolea maji lina ukubwa gani?
1 mm
4 mm
6 mm
9 mm
13 mm
16 mm
20 mm
Kwanini shimo hii haifai kuwa kubwa zaidi? Ikiwa kubwa basi...
Kokoto kubwa zitajaza bomba
Bomba ni fupi sana
maji yataingia kwa haraka sana
Mchanga ni msafi
Kwanini haifai kuwa ndogo zaidi? Ikiwa ndogo basi…
kokoto kubwa zinaziba bomba
Bomba ni fupi sana
Mai yatatiririka polepole sana
Mchanga ni msafi sana
Unaangalia vipi kuwa mchanga ni msafi?
Unaangalia vipi kuwa kokoto ni safi?
Unaangalia vipi kama biosand filter hii ni safi ?
Ni njia gani rahisi Zaidi ya kusafirisha filter hii?
punguza kila kitu uweke kwenye mifuko
punguza nusu ya vitu vyote kwenye mifuko
Tafuta watu kumi na lori kubwa
Bingirisha
usiisafirishe ijengee kwenye eneo ambayo itakaa
Biosand filter hii inasafishwa vipi?
Je unaweza kuiuza filter hii kwa pesa ngapi?
shillingi 1,000
shillingi 2,000
shillingi 3,000
shillingi 4,000
shillingi 5,000
shillingi 6,000
shillingi 7,000
shillingi 8,000
shillingi 9,000
shillingi 10,000
zaidi ya shillingi10,000
Je unaweza kuiuza filter hii kwa pesa ngapi?
Je mafundisho haya yalikuwa vipi?
Submit
Should be Empty: